2 Wafalme 3:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Na jambo hili ni jepesi machoni pa BWANA; pia atawatia Wamoabi mikononi mwenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini hili si jambo gumu kwa Mwenyezi-Mungu; yeye atawapeni pia ushindi juu ya Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini hili si jambo gumu kwa Mwenyezi-Mungu; yeye atawapeni pia ushindi juu ya Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini hili si jambo gumu kwa Mwenyezi-Mungu; yeye atawapeni pia ushindi juu ya Moabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hili ni jambo rahisi machoni pa Mwenyezi Mungu. Pia ataitia Moabu mikononi mwenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hili ni jambo rahisi machoni pa bwana. Pia ataitia Moabu mikononi mwenu. Tazama sura |