2 Wafalme 3:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Mfalme wa Israeli akasema, Ole wetu! Kwani BWANA amewakutanisha hawa wafalme watatu, awaue mkononi mwa Moabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mfalme wa Israeli akapaza sauti, akasema, “Nini! Je, Mwenyezi Mungu ametuita sisi wafalme watatu ili tu kututia mikononi mwa Moabu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mfalme wa Israeli akamaka, “Nini! Je, bwana ametuita sisi wafalme watatu ili tu kututia mikononi mwa Moabu?” Tazama sura |