2 Wafalme 25:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Kisha Nebuzaradani, kamanda wa askari walinzi, akawatwaa hao, akawaleta kwa mfalme wa Babeli huko Ribla. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Nebuzaradani kapteni wa walinzi aliwachukua watu hao, akawapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Nebuzaradani kapteni wa walinzi aliwachukua watu hao, akawapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Nebuzaradani kapteni wa walinzi aliwachukua watu hao, akawapeleka kwa mfalme wa Babuloni huko Ribla. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Nebuzaradani jemadari akawachukua hao wote na kuwapeleka kwa mfalme wa Babeli huko Ribla. Tazama sura |