2 Wafalme 25:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Lakini huyo kamanda wa askari walinzi akawaacha watu walio maskini ili wawe watunza mizabibu na wakulima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini aliacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini aliacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini aliacha baadhi ya watu waliokuwa maskini kabisa nchini. Aliwaacha watunze mizabibu na kulima mashamba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini yule jemadari wa askari walinzi akawaacha baadhi ya wale watu maskini kabisa ili watunze mashamba ya mizabibu na mashamba mengine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini yule jemadari wa askari walinzi akawaacha baadhi ya wale watu maskini kabisa ili watunze mashamba ya mizabibu na mashamba mengine. Tazama sura |