Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 24:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya baba yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama aliyoyafanya baba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Akafanya maovu machoni pa bwana, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 24:9
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na machukizo ya mataifa, aliowafukuza BWANA mbele ya wana wa Israeli.


Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, kama Manase babaye alivyofanya.


Akaiendea njia yote aliyoiendea baba yake, akazitumikia sanamu alizozitumikia baba yake, akaziabudu.


Wakati ule watumishi wa Nebukadneza mfalme wa Babeli wakakwea kwenda Yerusalemu, na mji ukahusuriwa.


Naye akaenda huku na huko kati ya simba, akawa mwanasimba, akajifunza kuwinda mawindo, akala watu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo