2 Wafalme 24:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 tena kwa ajili ya damu zisizo na hatia alizozimwaga; kwani aliujaza Yerusalemu damu zisizo na hatia; wala BWANA hakukubali kusamehe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 na kwa sababu ya damu isiyo na hatia aliyoimwaga. Mwenyezi-Mungu hakumsamehe makosa hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 na kwa sababu ya damu isiyo na hatia aliyoimwaga. Mwenyezi-Mungu hakumsamehe makosa hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 na kwa sababu ya damu isiyo na hatia aliyoimwaga. Mwenyezi-Mungu hakumsamehe makosa hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 ikiwa ni pamoja na kumwaga damu isiyo na hatia. Kwa kuwa aliijaza Yerusalemu kwa damu isiyo na hatia, naye Mwenyezi Mungu hakuwa radhi kusamehe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 ikiwa ni pamoja na kumwaga damu isiyo na hatia. Kwa kuwa aliijaza Yerusalemu kwa damu isiyo na hatia, naye bwana hakuwa radhi kusamehe. Tazama sura |