Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wafalme 23:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Lakini hao makuhani wa mahali pa juu hawakupanda madhabahuni kwa BWANA katika Yerusalemu, bali wakala mikate isiyo na chachu katikati ya ndugu zao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Makuhani hao hawakufikia madhabahu ya Mwenyezi-Mungu katika Yerusalemu, lakini walikula mikate isiyotiwa chachu waliyopewa na jamaa zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Makuhani hao hawakufikia madhabahu ya Mwenyezi-Mungu katika Yerusalemu, lakini walikula mikate isiyotiwa chachu waliyopewa na jamaa zao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Makuhani hao hawakufikia madhabahu ya Mwenyezi-Mungu katika Yerusalemu, lakini walikula mikate isiyotiwa chachu waliyopewa na jamaa zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ingawa makuhani wa mahali pa juu pa kuabudia hawakuhudumu katika madhabahu ya Mwenyezi Mungu katika Yerusalemu, walikula mikate isiyotiwa chachu pamoja na ndugu zao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ingawa makuhani wa mahali pa juu pa kuabudia miungu hawakuhudumu katika madhabahu ya bwana katika Yerusalemu, walikula mikate isiyotiwa chachu miongoni mwa ndugu zao.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 23:9
5 Marejeleo ya Msalaba  

Naye akainajisi Tofethi, iliyomo katika bonde la wana wa Hinomu, ili mtu asipitishe mwana wake au binti yake motoni kwa Moleki.

Kisha itakuwa, ya kwamba kila mtu atakayesalia katika nyumba yako atakwenda kumsujudia, apate kipande kidogo cha fedha, na mkate mmoja; na kumwambia, Tafadhali nitie katika kazi mojawapo ya ukuhani, nipate kula kipande kidogo cha mkate.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo