2 Wafalme 23:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Yehoyakimu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama waliyoyafanya babu zake wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Yehoyakimu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama waliyoyafanya babu zake wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Yehoyakimu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama waliyoyafanya babu zake wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Naye akafanya maovu machoni mwa Mwenyezi Mungu, kama baba zake walivyokuwa wamefanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Naye akafanya maovu machoni mwa bwana, kama baba zake walivyokuwa wamefanya. Tazama sura |