2 Wafalme 23:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, sawasawa na yote waliyoyafanya baba zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Yehoahazi alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama babu zake walivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Yehoahazi alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama babu zake walivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Yehoahazi alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama babu zake walivyofanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Akafanya maovu machoni mwa Mwenyezi Mungu, kama baba zake walivyofanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Akafanya maovu machoni mwa bwana, kama baba zake walivyofanya. Tazama sura |