2 Wafalme 23:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Kabla ya huyo hapakuwa na mfalme mfano wake, aliyemwelekea BWANA kwa moyo wake wote, na kwa roho yake yote, na kwa nguvu zake zote, sawasawa na Sheria ya Musa; wala baada yake hakuinuka mmoja mfano wake yeye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kabla ya Yosia au baada yake hakuna mfalme yeyote aliyekuwa kama yeye, ambaye alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wake wote, kwa nguvu zake zote na kwa roho yake yote kulingana na sheria ya Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kabla ya Yosia au baada yake hakuna mfalme yeyote aliyekuwa kama yeye, ambaye alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wake wote, kwa nguvu zake zote na kwa roho yake yote kulingana na sheria ya Mose. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kabla ya Yosia au baada yake hakuna mfalme yeyote aliyekuwa kama yeye, ambaye alimtumikia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wake wote, kwa nguvu zake zote na kwa roho yake yote kulingana na sheria ya Mose. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hapakuwepo mfalme mwingine kabla na baada ya Yosia aliyempenda Mwenyezi Mungu kama yeye; kwa moyo wake wote, kwa roho yake yote, na kwa nguvu zake zote, kulingana na Torati yote ya Musa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kabla wala baada ya Yosia, hapakuwepo na mfalme mwingine yeyote ambaye alimpenda bwana kwa moyo wake wote, kwa roho yake yote, na kwa nguvu zake zote, sawasawa na Torati yote ya Musa. Tazama sura |