Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Wafalme 23:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Hakika yake haikufanyika Pasaka kama hiyo, tangu zamani za waamuzi waliowaamua Israeli, wala katika zamani za wafalme wa Israeli, wala za wafalme wa Yuda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Hakuna Pasaka iliyosherehekewa kama hii tangu wakati wa waamuzi waliowaamua Waisraeli wala wakati wa ufalme wa Israeli au wa Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Hakuna Pasaka iliyosherehekewa kama hii tangu wakati wa waamuzi waliowaamua Waisraeli wala wakati wa ufalme wa Israeli au wa Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Hakuna Pasaka iliyosherehekewa kama hii tangu wakati wa waamuzi waliowaamua Waisraeli wala wakati wa ufalme wa Israeli au wa Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Hapakuwahi kuwa na adhimisho lingine la Pasaka kama hilo tangu nyakati za waamuzi walioamua Israeli, wala katika nyakati zote za wafalme wa Israeli na wafalme wa Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Hapakuwahi kuwepo na adhimisho lingine la Pasaka kama hilo tangu nyakati za Waamuzi walioongoza Israeli, wala katika nyakati zote za wafalme wa Israeli na wafalme wa Yuda.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 23:22
4 Marejeleo ya Msalaba  

Bali katika mwaka wa kumi na nane wa mfalme Yosia ilifanyika Pasaka hii kwa BWANA ndani ya Yerusalemu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo