2 Wafalme 21:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni katika behewa mbili za nyumba ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Katika nyua mbili za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alijenga madhabahu ya kuabudia sayari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Katika nyua mbili za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alijenga madhabahu ya kuabudia sayari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Katika nyua mbili za nyumba ya Mwenyezi-Mungu, alijenga madhabahu ya kuabudia sayari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Katika nyua zote mbili za Hekalu la Mwenyezi Mungu, akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la angani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Katika nyua zote mbili za Hekalu la bwana, akajenga madhabahu kwa ajili ya jeshi lote la angani. Tazama sura |
Kisha, mfalme akamwamuru Hilkia, kuhani mkuu, na makuhani wa daraja ya pili, na walinzi wa mlango, kwamba watoe katika hekalu la BWANA vyombo vyote vilivyofanywa kwa ajili ya Baali, na kwa ajili ya Ashera, na kwa ajili ya jeshi lote la mbinguni; akaviteketeza kwa moto nje ya Yerusalemu, katika mashamba ya Ridroni, akayachukua majivu yake mpaka Betheli.