2 Wafalme 21:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Akazijenga madhabahu ndani ya nyumba ya BWANA, napo ndipo alipopanena BWANA, Katika Yerusalemu nitaliweka jina langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa katika Yerusalemu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa katika Yerusalemu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Alijenga madhabahu katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu mahali ambapo Mwenyezi-Mungu alikuwa amesema, “Jina langu litaabudiwa katika Yerusalemu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Akajenga madhabahu katika Hekalu la Mwenyezi Mungu, ambamo Mwenyezi Mungu alikuwa amesema, “Katika Yerusalemu nitaliweka Jina langu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Akajenga madhabahu katika Hekalu la bwana, ambamo bwana alikuwa amesema, “Katika Yerusalemu nitaliweka Jina langu.” Tazama sura |