2 Wafalme 21:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Basi mambo yote ya Amoni yaliyosalia, aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Matendo mengine yote ya Amoni yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Matendo mengine yote ya Amoni yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Matendo mengine yote ya Amoni yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Amoni na yale aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Matukio mengine ya utawala wa Amoni na yale aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda? Tazama sura |