2 Wafalme 21:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, kama Manase babaye alivyofanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Akatenda maovu machoni mwa Mwenyezi Mungu, kama baba yake Manase alivyofanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Akatenda maovu machoni mwa bwana, kama baba yake Manase alivyofanya. Tazama sura |