2 Wafalme 20:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Hezekia akamwambia Isaya, Je! Kutakuwa na ishara gani ya kwamba BWANA ataniponya, nami siku ya tatu nitapanda nyumbani kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Hezekia akamwuliza Isaya, “Ni ishara gani ambayo itanionesha kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ataniponya na katika siku ya tatu nitaweza kwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Hezekia akamwuliza Isaya, “Ni ishara gani ambayo itanionesha kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ataniponya na katika siku ya tatu nitaweza kwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Hezekia akamwuliza Isaya, “Ni ishara gani ambayo itanionesha kwamba kweli Mwenyezi-Mungu ataniponya na katika siku ya tatu nitaweza kwenda katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Hezekia alimuuliza Isaya, “Kutakuwa na ishara gani kwamba Mwenyezi Mungu ataniponya mimi, na kwamba nitapanda kwenda katika Hekalu la Mwenyezi Mungu siku ya tatu tangu leo?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Hezekia alikuwa amemuuliza Isaya, “Kutakuwa na ishara gani kwamba bwana ataniponya mimi, na kwamba nitapanda kwenda Hekalu la bwana siku ya tatu tangu leo?” Tazama sura |