2 Wafalme 20:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Ikawa, kabla Isaya hajatoka katika mji wa kati, neno la BWANA likamjia, kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini kabla Isaya hajapita ua wa katikati, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia, kusema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini kabla Isaya hajapita ua wa katikati, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia, kusema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini kabla Isaya hajapita ua wa katikati, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia, kusema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kabla Isaya hajaondoka katika ua wa kati, neno la Mwenyezi Mungu likamjia, akaambiwa: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kabla Isaya hajaondoka katika ua wa kati, neno la bwana likamjia, akaambiwa: Tazama sura |