Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Wafalme 20:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Basi Hezekia akajigeuza, akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba BWANA akasema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Hezekia akageukia upande wa ukuta na kumwomba Mwenyezi-Mungu akisema,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Mwenyezi Mungu:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba bwana:

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 20:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Uisikie dua ya mtumwa wako, na ya watu wako Israeli, watakapoomba wakikabili mahali hapa; naam, sikia huko mbinguni, makao yako; nawe usikiapo, samehe.


Siku hizo Hezekia akaugua, akawa katika hatari ya kufa. Isaya, nabii, mwana wa Amozi, akamjia akamwambia, BWANA asema hivi, Tengeneza mambo ya nyumba yako; maana utakufa, wala hutapona.


Nakusihi, BWANA, ukumbuke sasa, jinsi nilivyokwenda mbele zako katika kweli na kwa moyo mkamilifu, na kutenda yaliyo mema machoni pako. Hezekia akalia sana sana.


Uniite siku ya mateso; Nitakuokoa, nawe utanitukuza.


Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo