Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Wafalme 19:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

27 Lakini nakujua, kuketi kwako, na kutoka kwako, na kuingia kwako; na ghadhabu yako unayonighadhibikia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Najua kuketi kwako, na kuamka kwako nako kuingia kwako; nayo mipango yako dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Najua kuketi kwako, na kuamka kwako nako kuingia kwako; nayo mipango yako dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Najua kuketi kwako, na kuamka kwako nako kuingia kwako; nayo mipango yako dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 “ ‘Lakini ninajua mahali ukaapo, kutoka kwako na kuingia kwako, na jinsi unavyoghadhibika dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 “ ‘Lakini ninajua mahali ukaapo, kutoka kwako na kuingia kwako, na jinsi unavyoghadhibika dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

2 Wafalme 19:27
7 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.

Utalaaniwa uingiapo, utalaaniwa na utokapo,

Utabarikiwa uingiapo, utabarikiwa na utokapo.

Ndipo Akishi akamwita Daudi, akamwambia, Aishivyo BWANA, wewe umekuwa mwenye adili, tena kutoka kwako na kuingia kwako pamoja nami katika jeshi ni kwema machoni pangu; kwa sababu mimi sikuona uovu ndani yako tangu siku ile uliponijia hata leo; walakini hao wakuu hawakuridhii.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo