2 Wafalme 18:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Je! Yuko mungu mmoja wa mataifa aliyewaokoa watu wake wakati wowote na mkono wa mfalme wa Ashuru? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Je, kuna yeyote kati ya miungu ya mataifa aliyeokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Je, kuna yeyote kati ya miungu ya mataifa aliyeokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Je, kuna yeyote kati ya miungu ya mataifa aliyeokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Je, yuko mungu wa taifa lolote aliyewahi kuokoa nchi yake kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Je, yuko mungu wa taifa lolote aliyewahi kuokoa nchi yake kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru? Tazama sura |