2 Wafalme 18:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Hezekia akampa fedha yote iliyoonekana katika nyumba ya BWANA, na katika hazina za nyumba ya mfalme. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Hezekia akampelekea fedha yote iliyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika hazina za nyumba ya mfalme; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Hezekia akampelekea fedha yote iliyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika hazina za nyumba ya mfalme; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Hezekia akampelekea fedha yote iliyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika hazina za nyumba ya mfalme; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Basi Hezekia akampa fedha yote iliyopatikana ndani ya Hekalu la Mwenyezi Mungu na katika hazina ya jumba la mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Basi Hezekia akampa fedha yote iliyopatikana ndani ya Hekalu la bwana na katika hazina ya jumba la mfalme. Tazama sura |
Yoashi mfalme wa Yuda akavitwaa vyote alivyoviweka wakfu Yehoshafati, na Yehoramu, na Ahazia, baba zake, wafalme wa Yuda, navyo vyote alivyoweka wakfu mwenyewe, na dhahabu yote iliyoonekana katika hazina za nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, akamletea Hazaeli mfalme wa Shamu; basi akaenda zake kutoka Yerusalemu.