2 Wafalme 17:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ndipo mfalme wa Ashuru akakwea katikati ya nchi yote, akaenda Samaria, akauhusuru miaka mitatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha mfalme wa Ashuru akaivamia nchi nzima na kuufikia mji wa Samaria na kuuzingira kwa muda wa miaka mitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha mfalme wa Ashuru akaivamia nchi nzima na kuufikia mji wa Samaria na kuuzingira kwa muda wa miaka mitatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha mfalme wa Ashuru akaivamia nchi nzima na kuufikia mji wa Samaria na kuuzingira kwa muda wa miaka mitatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mfalme wa Ashuru akaishambulia nchi yote, akapigana dhidi ya Samaria na kuuzingira kwa miaka mitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Mfalme wa Ashuru akaishambulia nchi yote, akapigana dhidi ya Samaria na kuizunguka kwa majeshi miaka mitatu. Tazama sura |