2 Wafalme 17:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Hata siku hii ya leo hufanya sawasawa na kawaida za kwanza; wala hawamwogopi BWANA, wala hawazifuati sheria zao, wala hukumu zao, wala ile torati, wala ile amri BWANA aliyowaamuru wana wa Yakobo, ambaye alimpa jina la Israeli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Hata sasa wanatenda kama walivyofanya hapo awali. Hawamwabudu Mwenyezi-Mungu, na wala hawafuati masharti, maagizo, sheria au amri ambazo yeye Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wana wa Yakobo; ambaye alimpa jina Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Hata sasa wanatenda kama walivyofanya hapo awali. Hawamwabudu Mwenyezi-Mungu, na wala hawafuati masharti, maagizo, sheria au amri ambazo yeye Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wana wa Yakobo; ambaye alimpa jina Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Hata sasa wanatenda kama walivyofanya hapo awali. Hawamwabudu Mwenyezi-Mungu, na wala hawafuati masharti, maagizo, sheria au amri ambazo yeye Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wana wa Yakobo; ambaye alimpa jina Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Hadi leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu Mwenyezi Mungu wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo Mwenyezi Mungu aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Mpaka leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu bwana wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo bwana aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli. Tazama sura |