2 Wafalme 17:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Watu wa Babeli wakafanya Sukoth-benothi kuwa mungu wao, watu wa Kutha wakafanya Nergali, watu wa Hamathi wakafanya Ashima, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Watu wa Babuloni walitengeneza vinyago vya Sukoth-benothi; Wakuthi vinyago vya Nergali; Wahamathi vinyago vya Ashima; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Watu wa Babuloni walitengeneza vinyago vya Sukoth-benothi; Wakuthi vinyago vya Nergali; Wahamathi vinyago vya Ashima; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Watu wa Babuloni walitengeneza vinyago vya Sukoth-benothi; Wakuthi vinyago vya Nergali; Wahamathi vinyago vya Ashima; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Watu kutoka Babeli wakatengeneza Sukoth-Benothi kuwa mungu wao, watu kutoka Kutha wakatengeneza Nergali, na watu kutoka Hamathi wakatengeneza Ashima; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Watu kutoka Babeli wakamtengeneza Sukoth-Benothi kuwa mungu wao, watu kutoka Kutha wakamtengeneza Nergali, na watu kutoka Hamathi wakamtengeneza Ashima; Tazama sura |