2 Wafalme 17:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Naye Shalmanesa mfalme wa Ashuru akakwea juu yake, Hoshea akawa mtumishi wake, akampa kodi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mfalme Shalmanesa wa Ashuru alimshambulia; naye Hoshea akawa mtumishi wake na kumlipa ushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mfalme Shalmanesa wa Ashuru alimshambulia; naye Hoshea akawa mtumishi wake na kumlipa ushuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mfalme Shalmanesa wa Ashuru alimshambulia; naye Hoshea akawa mtumishi wake na kumlipa ushuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mfalme Shalmanesa wa Ashuru akaenda na kumshambulia Mfalme Hoshea, ambaye hapo awali alikuwa akimlipa ushuru kwa sababu alikuwa mtumishi wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mfalme Shalmanesa wa Ashuru akainuka dhidi ya Mfalme Hoshea, ambaye hapo mbeleni alikuwa mtumwa wake na kumlipa ushuru. Tazama sura |