2 Wafalme 17:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Basi ikawa, wakati ule walipoanza kukaa huko, hawakumcha BWANA; kwa hiyo BWANA akapeleka simba kati yao, nao wakawaua baadhi yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Basi ilitokea kwamba walipoanza kukaa humo, hawakumwabudu Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo Mwenyezi-Mungu akatuma simba miongoni mwao, nao wakawaua baadhi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Basi ilitokea kwamba walipoanza kukaa humo, hawakumwabudu Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo Mwenyezi-Mungu akatuma simba miongoni mwao, nao wakawaua baadhi yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Basi ilitokea kwamba walipoanza kukaa humo, hawakumwabudu Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo Mwenyezi-Mungu akatuma simba miongoni mwao, nao wakawaua baadhi yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Wakati walianza kuishi humo, hawakumwabudu Mwenyezi Mungu, kwa hiyo akatuma simba miongoni mwao, wakawaua baadhi ya watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Wakati walianza kuishi humo, hawakumwabudu bwana, kwa hiyo akatuma simba miongoni mwao, wakawaua baadhi ya watu. Tazama sura |