2 Wafalme 17:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Basi BWANA akakikataa kizazi chote cha Israeli, akawatesa, na kuwatia katika mikono ya watu wenye kuwateka nyara, hata alipokwisha kuwatupa, watoke machoni pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mwenyezi-Mungu aliwakataa Waisraeli wote; akawaadhibu na kuwaacha mikononi mwa adui wakali, na kisha akawafukuza mbele yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mwenyezi-Mungu aliwakataa Waisraeli wote; akawaadhibu na kuwaacha mikononi mwa adui wakali, na kisha akawafukuza mbele yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mwenyezi-Mungu aliwakataa Waisraeli wote; akawaadhibu na kuwaacha mikononi mwa adui wakali, na kisha akawafukuza mbele yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kwa hiyo Mwenyezi Mungu aliwakataa watu wote wa Israeli; akawatesa na kuwaachia katika mikono ya wateka nyara hadi alipowaondoa kwenye uwepo wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kwa hiyo bwana aliwakataa watu wote wa Israeli; akawatesa na kuwaachia katika mikono ya wateka nyara hadi alipowaondoa kutoka kwenye uwepo wake. Tazama sura |