2 Wafalme 17:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, ila si kama wafalme wa Israeli waliomtangulia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomtangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomtangulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomtangulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, lakini si kama wafalme wengine wa Israeli waliomtangulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akafanya maovu machoni pa bwana, lakini si kama wafalme wengine wa Israeli waliomtangulia. Tazama sura |