2 Wafalme 16:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Akafanya hivyo Uria kuhani, sawasawa na yote aliyoyaamuru mfalme Ahazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Naye Uria akafuata maagizo ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Naye Uria akafuata maagizo ya mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Naye Uria akafuata maagizo ya mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Naye Uria kuhani akafanya kama Mfalme Ahazi alivyoagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Naye Uria kuhani akafanya kama Mfalme Ahazi alivyoagiza. Tazama sura |
Mfalme Ahazi akamwamuru Uria kuhani, akisema, Juu ya madhabahu hiyo kubwa uiteketeze sadaka ya kuteketezwa ya asubuhi, na sadaka ya unga ya jioni, na sadaka ya mfalme ya kuteketezwa, na sadaka yake ya unga, pamoja na sadaka ya kuteketezwa ya watu wote wa nchi, na sadaka yao ya unga, na sadaka zao za kinywaji; ukanyunyize juu yake damu yote ya sadaka ya kuteketezwa, na damu yote ya dhabihu; bali madhabahu ya shaba itakuwa kwangu mimi ili niiulizie.