2 Wafalme 15:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Zamani hizo akaanza BWANA kumtuma juu ya Yuda Resini mfalme wa Shamu, na Peka mwana wa Remalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Wakati wa enzi ya Yothamu, Mwenyezi-Mungu alianza kutuma mfalme Resini wa Aramu na mfalme Peka wa Israeli ili kushambulia Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Wakati wa enzi ya Yothamu, Mwenyezi-Mungu alianza kutuma mfalme Resini wa Aramu na mfalme Peka wa Israeli ili kushambulia Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Wakati wa enzi ya Yothamu, Mwenyezi-Mungu alianza kutuma mfalme Resini wa Aramu na mfalme Peka wa Israeli ili kushambulia Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 (Katika siku hizo, Mwenyezi Mungu akaanza kuwatuma Resini mfalme wa Aramu na Peka mwana wa Remalia dhidi ya Yuda.) Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 (Katika siku hizo, bwana akaanza kuwatuma Resini mfalme wa Aramu na Peka mwana wa Remalia dhidi ya Yuda.) Tazama sura |