2 Wafalme 15:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA; akafanya kama yote aliyoyafanya Uzia baba yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Kama vile Uzia baba yake, Yothamu alitenda mambo yaliyompendeza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Kama vile Uzia baba yake, Yothamu alitenda mambo yaliyompendeza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Kama vile Uzia baba yake, Yothamu alitenda mambo yaliyompendeza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, kama Uzia baba yake alivyokuwa amefanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Akafanya yaliyo mema machoni pa bwana, kama Uzia baba yake alivyokuwa amefanya. Tazama sura |