2 Wafalme 14:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Ikawa, mara ufalme ulipokuwa imara mkononi mwake, aliwaua watumishi wale waliomwua mfalme baba yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani, aliwaua watumishi waliomuua mfalme, baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani, aliwaua watumishi waliomuua mfalme, baba yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mara tu Amazia alipojiimarisha mamlakani, aliwaua watumishi waliomuua mfalme, baba yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Baada ya ufalme kuimarika mkononi mwake, aliwaua maafisa waliomuua mfalme baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Baada ya ufalme kuimarika mikononi mwake, aliwaua maafisa waliomuua mfalme baba yake. Tazama sura |