2 Wafalme 14:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Walakini mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa dhabihu na kufukiza uvumba katika mahali pa juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 isipokuwa mahali pa ibada milimani hapakuharibiwa na watu waliendelea kutambika na kufukiza ubani mahali hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 isipokuwa mahali pa ibada milimani hapakuharibiwa na watu waliendelea kutambika na kufukiza ubani mahali hapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 isipokuwa mahali pa ibada milimani hapakuharibiwa na watu waliendelea kutambika na kufukiza ubani mahali hapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa. Watu waliendelea kutoa kafara na kufukiza uvumba huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa. Watu waliendelea kutoa kafara na kufukiza uvumba huko. Tazama sura |