2 Wafalme 14:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, ila si kama babaye Daudi; akafanya kama yote aliyoyafanya baba yake Yoashi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwa kama babu yake Daudi. Bali alifanya mambo yote kama Yoashi baba yake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwa kama babu yake Daudi. Bali alifanya mambo yote kama Yoashi baba yake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwa kama babu yake Daudi. Bali alifanya mambo yote kama Yoashi baba yake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, lakini sio kama Daudi baba yake alivyokuwa amefanya. Katika kila kitu alifuata mfano wa Yoashi baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Akatenda yaliyo mema machoni pa bwana, lakini sio kama Daudi baba yake alivyokuwa amefanya. Katika kila kitu alifuata mfano wa Yoashi baba yake. Tazama sura |