2 Wafalme 14:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Yeroboamu akalala na babaze, yaani, na wafalme wa Israeli. Na Zekaria mwanawe akatawala mahali pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Yeroboamu alifariki na kuzikwa katika makaburi ya kifalme na mwanawe Zekaria akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Yeroboamu alifariki na kuzikwa katika makaburi ya kifalme na mwanawe Zekaria akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Yeroboamu alifariki na kuzikwa katika makaburi ya kifalme na mwanawe Zekaria akatawala mahali pake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Yeroboamu akalala na baba zake, wafalme wa Israeli. Naye Zekaria mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Yeroboamu akalala pamoja na baba zake, wafalme wa Israeli. Naye Zekaria mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama sura |