2 Wafalme 13:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Akafa Hazaeli mfalme wa Shamu, na Ben-hadadi mwanawe akatawala mahali pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Hazaeli mfalme wa Aramu alipofariki, Ben-hadadi mwanawe alitawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Hazaeli mfalme wa Aramu alipofariki, Ben-hadadi mwanawe alitawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Hazaeli mfalme wa Aramu alipofariki, Ben-hadadi mwanawe alitawala mahali pake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Hazaeli mfalme wa Shamu akafa, naye Ben-Hadadi mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Hazaeli mfalme wa Shamu akafa, naye Ben-Hadadi mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama sura |