2 Wafalme 12:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Ila mahali pa juu hapakuondolewa; watu wakaendelea kutoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Hata hivyo, mahali pa juu pa kuabudia miungu hapakuharibiwa, na watu waliendelea kutambika na kufukiza ubani huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Hata hivyo, mahali pa juu pa kuabudia miungu hapakuharibiwa, na watu waliendelea kutambika na kufukiza ubani huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Hata hivyo, mahali pa juu pa kuabudia miungu hapakuharibiwa, na watu waliendelea kutambika na kufukiza ubani huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa. Watu waliendelea kutoa kafara na kufukiza uvumba huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hata hivyo mahali pa juu pa kuabudia hapakuondolewa. Watu waliendelea kutoa kafara na kufukiza uvumba huko. Tazama sura |