2 Wafalme 12:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wakati wa maisha yake yote alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kwa sababu kuhani Yehoyada alikuwa akimfundisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa bwana miaka yote ambayo Yehoyada kuhani alikuwa akimwelekeza. Tazama sura |