Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wafalme 11:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Basi watu wote wa nchi wakafurahi, na mji ukatulia. Naye Athalia wakamwua kwa upanga karibu na nyumba ya mfalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kwa hiyo, wakazi wote walijawa furaha; na mji wote ulikuwa mtulivu, baada ya Athalia kuuawa kwa upanga katika ikulu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kwa hiyo, wakazi wote walijawa furaha; na mji wote ulikuwa mtulivu, baada ya Athalia kuuawa kwa upanga katika ikulu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kwa hiyo, wakazi wote walijawa furaha; na mji wote ulikuwa mtulivu, baada ya Athalia kuuawa kwa upanga katika ikulu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 nao watu wote wa nchi wakafurahi. Mji ukatulia, kwa sababu Athalia alikuwa ameuawa kwa upanga nyumbani mwa mfalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 nao watu wote wa nchi wakafurahi. Mji ukatulia, kwa sababu Athalia alikuwa ameuawa kwa upanga nyumbani kwa mfalme.

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 11:20
5 Marejeleo ya Msalaba  

Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.


akatazama, na tazama, mfalme amesimama karibu na nguzo kama ilivyokuwa desturi, nao wakuu na wapiga baragumu karibu na mfalme; na watu wote wa nchi wakafurahi, wakapiga baragumu. Ndipo Athalia akararua mavazi yake, akalia, Uhaini! Uhaini!


Basi wakafurahi watu wote wa nchi, na mji ukatulia baada ya Athalia kuuawa kwa upanga.


Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu wanapoangamia, watu hushangilia.


Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo