2 Wafalme 11:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Basi wakampisha njia; akaenda kwa njia ya kuingia kwa farasi nyumbani mwa mfalme; akauawa huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, wakamkamata, wakampeleka na kumpitisha kwenye Lango la Farasi kuelekea ikulu, naye akauawa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, wakamkamata, wakampeleka na kumpitisha kwenye Lango la Farasi kuelekea ikulu, naye akauawa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, wakamkamata, wakampeleka na kumpitisha kwenye Lango la Farasi kuelekea ikulu, naye akauawa huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Basi wakamkamata Athalia alipofika mahali farasi huingilia katika viwanja vya jumba la mfalme, wakamuua hapo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Basi wakamkamata Athalia, na alipofika mahali ambapo farasi huingilia katika viwanja vya jumba la mfalme, wakamuulia hapo. Tazama sura |