Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Wafalme 10:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

32 Siku zile BWANA akaanza kupunguza Israeli. Hazaeli akawapiga kote mipakani mwa Israeli;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Wakati huo Mwenyezi-Mungu alianza kupunguza eneo la nchi ya Israeli. Mfalme Hazaeli wa Aramu akashinda nchi yote ya Israeli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Wakati huo Mwenyezi-Mungu alianza kupunguza eneo la nchi ya Israeli. Mfalme Hazaeli wa Aramu akashinda nchi yote ya Israeli,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Wakati huo Mwenyezi-Mungu alianza kupunguza eneo la nchi ya Israeli. Mfalme Hazaeli wa Aramu akashinda nchi yote ya Israeli,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Katika siku hizo, Mwenyezi Mungu akaanza kupunguza ukubwa wa Israeli. Hazaeli akawashinda Waisraeli sehemu zote za nchi yao

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Katika siku hizo, bwana akaanza kupunguza ukubwa wa Israeli. Hazaeli akawashinda Waisraeli sehemu zote za nchi yao

Tazama sura Nakili




2 Wafalme 10:32
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na itakuwa atakayeokoka na upanga wa Hazaeli, Yehu atamwua; na atakayeokoka na upanga wa Yehu, Elisha atamwua.


Ndipo akakwea Hazaeli mfalme wa Shamu akapigana na Gathi, akautwaa; Hazaeli akaelekeza uso ili akwee kwenda Yerusalemu.


Na Hazaeli mfalme wa Shamu akawaonea Israeli siku zote za Yehoahazi.


Naye Yehoashi, mwana wa Yehoahazi, akaitwaa tena mkononi mwa Ben-hadadi mwana wa Hazaeli miji ile aliyoitwaa yeye mkononi mwa Yehoahazi baba yake vitani. Mara tatu Yehoashi akamshinda, akairudisha miji ya Israeli.


Yeye akaurudisha mpaka wa Israeli toka kuingia kwa Hamathi hata bahari ya Araba, sawasawa na neno la BWANA, Mungu wa Israeli, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Yona mwana wa Amitai, nabii, aliyekuwa wa Gath-heferi.


Hazaeli akasema, Bwana wangu analilia nini? Akajibu, Kwa sababu nayajua mabaya utakayowatenda wana wa Israeli; utazichoma moto ngome zao, utawaua vijana wao kwa upanga, utawasetaseta watoto wao wachanga na wanawake wao wenye mimba utawapasua.


Walipopungua na kudhilika, Kwa kuonewa na dhiki na huzuni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo