2 Wafalme 10:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Akasema, Fuatana nami, ukaone wivu wangu kwa BWANA. Wakampandisha garini mwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Akamwambia, “Fuatana nami ili ujionee jinsi nilivyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu.” Basi, wakasafiri pamoja garini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Akamwambia, “Fuatana nami ili ujionee jinsi nilivyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu.” Basi, wakasafiri pamoja garini mwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Akamwambia, “Fuatana nami ili ujionee jinsi nilivyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu.” Basi, wakasafiri pamoja garini mwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake la vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Yehu akasema, “Twende pamoja ukaone wivu wangu kwa ajili ya bwana.” Hivyo wakasafiri pamoja kwenye gari lake. Tazama sura |