2 Wafalme 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Jueni basi ya kwamba halianguki chini lolote la neno la BWANA, alilolinena BWANA juu ya nyumba ya Ahabu; kwa maana BWANA ameyafanya hayo aliyoyanena kwa kinywa cha mtumishi wake Eliya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Jueni ya kwamba maneno yote aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu jamaa ya Ahabu yametimia. Mwenyezi-Mungu ameyafanya hayo aliyosema kwa njia ya mtumishi wake Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Jueni ya kwamba maneno yote aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu jamaa ya Ahabu yametimia. Mwenyezi-Mungu ameyafanya hayo aliyosema kwa njia ya mtumishi wake Elia.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Jueni ya kwamba maneno yote aliyosema Mwenyezi-Mungu kuhusu jamaa ya Ahabu yametimia. Mwenyezi-Mungu ameyafanya hayo aliyosema kwa njia ya mtumishi wake Elia.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Fahamuni basi kwamba, hakuna neno ambalo Mwenyezi Mungu amesema dhidi ya nyumba ya Ahabu ambalo halitatimia. Mwenyezi Mungu amefanya lile aliloahidi kupitia mtumishi wake Ilya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Fahamuni basi kwamba, hakuna neno ambalo bwana amesema dhidi ya nyumba ya Ahabu ambalo halitatimia. bwana amefanya lile aliloahidi kupitia mtumishi wake Ilya.” Tazama sura |