2 Wafalme 1:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Wale wajumbe wakarudi, na mfalme akawaambia, Mbona mmerudi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, Elia akawaendea. Wale wajumbe wakarudi kwa mfalme, naye akawauliza, “Mbona mmerudi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wajumbe waliporudi kwa mfalme, akawauliza, “Kwa nini mmerudi?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wajumbe waliporudi kwa mfalme, akawauliza, “Kwa nini mmerudi?” Tazama sura |
Wakamwambia, Mtu alitokea, akaonana nasi, akatuambia, Nendeni, rudini kwa mfalme yule aliyewatuma, mkamwambie, BWANA asema hivi Je! Ni kwa sababu hapana Mungu katika Israeli, hata mnakwenda kuuliza kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni? Basi kwa ajili ya hayo hutashuka katika kile kitanda ulichokipanda, bali hakika utakufa.