2 Timotheo 3:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Bali wewe ukae katika mambo yale uliyofundishwa na kuhakikishwa, kwa maana unajua ni akina nani ambao ulijifunza kwao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Lakini wewe dumu katika ukweli ule uliofundishwa ukaukubali kabisa. Wawajua wale waliokuwa waalimu wako, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Lakini wewe dumu katika ukweli ule uliofundishwa ukaukubali kabisa. Wawajua wale waliokuwa waalimu wako, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Lakini wewe dumu katika ukweli ule uliofundishwa ukaukubali kabisa. Wawajua wale waliokuwa waalimu wako, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Bali wewe, udumu katika yale uliyojifunza na kuyaamini kwa uthabiti, ukitambua ya kuwa ulijifunza hayo kutoka kwa nani, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Bali wewe, udumu katika yale uliyojifunza na kuyaamini kwa uthabiti, ukitambua ya kuwa ulijifunza hayo kutoka kwa nani, Tazama sura |