2 Timotheo 3:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Lakini watu waovu na wadanganyaji wataendelea, na kuzidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Watu waovu na wadanganyifu wataendelea kuwa wabaya, wakidanganya wengine, na wao wenyewe wakidanganywa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Watu waovu na wadanganyifu wataendelea kuwa wabaya, wakidanganya wengine, na wao wenyewe wakidanganywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Watu waovu na wadanganyifu wataendelea kuwa wabaya, wakidanganya wengine, na wao wenyewe wakidanganywa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Lakini watu waovu na wadanganyaji watazidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Lakini watu waovu na wadanganyaji watazidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika. Tazama sura |