2 Timotheo 2:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Lakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa magomvi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Epuka ubishi wa kijinga na kipumbavu; wajua kwamba hayo huleta magomvi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Jiepushe na mabishano ya kipumbavu na yasiyo na maana, kwa kuwa unajua hayo huzaa magomvi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Jiepushe na mabishano ya kipumbavu na yasiyo na maana, kwa kuwa wajua ya kwamba hayo huzaa magomvi. Tazama sura |