2 Timotheo 2:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Jiepushe na maneno machafu yasiyo na maana, ambayo si ya dini; kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Jiepushe na majadiliano yasiyofaa na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Jiepushe na majadiliano yasiyofaa na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Jiepushe na majadiliano yasiyofaa na ya kipumbavu; kwani hayo huzidi kuwatenga watu mbali na Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Jiepushe na maneno machafu yasiyo ya utauwa, kwa maana hayo huzidi kuwatosa watu katika kutomcha Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Jiepushe na maneno mabaya, yasiyo na maana, yasiyo ya utauwa, kwa maana hayo huzidi kuwatosa watu katika kukosa heshima kwa Mwenyezi Mungu. Tazama sura |