2 Samueli 7:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Basi sasa, Ee BWANA Mungu, neno lile ulilolinena kuhusu mtumishi wako, na kuhusu nyumba yangu, uliimarishe milele, ukatende kama ulivyosema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Basi, sasa, ee Mwenyezi-Mungu, ikamilishe ile ahadi uliyosema kuhusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu kama ulivyoahidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Basi, sasa, ee Mwenyezi-Mungu, ikamilishe ile ahadi uliyosema kuhusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu kama ulivyoahidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Basi, sasa, ee Mwenyezi-Mungu, ikamilishe ile ahadi uliyosema kuhusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu kama ulivyoahidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 “Basi sasa, Bwana Mwenyezi Mungu, ukaitimize ahadi uliyosema kuhusu mtumishi wako na nyumba yake milele. Fanya kama ulivyoahidi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 “Basi sasa, bwana, ukaitimize ahadi uliyosema kuhusu mtumishi wako na nyumba yake milele. Fanya kama ulivyoahidi, Tazama sura |