2 Samueli 7:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 lakini fadhili zangu hazitamwondoka, kama vile nilivyomwondolea Sauli, niliyemwondoa mbele yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Lakini sitamwondolea fadhili zangu kama vile nilivyoziondoa kwa Shauli, niliyemwondoa mbele yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Lakini sitamwondolea fadhili zangu kama vile nilivyoziondoa kwa Shauli, niliyemwondoa mbele yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Lakini sitamwondolea fadhili zangu kama vile nilivyoziondoa kwa Shauli, niliyemwondoa mbele yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Lakini upendo wangu kamwe hautaondolewa kwake, kama nilivyouondoa kwa Sauli, niliyemwondoa atoke mbele yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Lakini upendo wangu kamwe hautaondolewa kwake, kama nilivyouondoa kwa Sauli, niliyemwondoa atoke mbele yako. Tazama sura |